moderate

adj -a kiasi; -a kadiri; -a wastani n mtu mwenye siasa, tabia, mwendo wa kiasi. moderately adv. vt,vi 1 punguza (joto, ukali, harara, nguvu); tuliza ~ one's demands punguza madai. 2 simamia mjadala/mtihani (wa chuo kikuu); rekebisha mtihani. moderation n 1 kiasi; kadiri; wastani; usimamizi wa mjadala/ mtihani. 2 pl moderations n (also mods) mitihani ya shahada ya kwanza (oxford). moderator n 1 msimamizi (wa mjadala, michezo n.k.) mtahini. 2 mpatanishi. 3 (physics) kipunguzo cha nutroni katika funguatomu. 4 msimamizi wa baraza/mahakama ya kanisa.