mob

n 1 kundi la watu wenye fujo; ghasia ya watu ~ law/rule sheria mkononi. 2 the ~ n watu; umma; (sl) kundi la majambazi. vt,vi songamana (kwa ghasia). mobster n mmojawapo wa majambazi.