mistress

n 1 mwanamke mkuu wa kaya; bimkubwa. 2 mwalimu wa kike the Kiswahili ~ mwalimu (wa kike) wa Kiswahili. 3 bingwa/mweledi wa kike she is a ~ of handcraft ni mjuzi wa kazi za mikono. 4 (in stories of the 18th c) bibi. 5 (poet) mpenzi. 6 kimada, hawara.