mistake

n kosa. by ~ kwa makosa. and no ~ bila shaka he is a fool and no ~ yeye ni mpumbuvu bila shaka. vt,vi 1 kosa, kosea, fahamu/fikiria visivyo. there is no mistaking ni dhahiri. 2 ~ mister somebody/something for dhania visivyo kweli, changanya na I always ~ Kurwa for Doto mara kwa mara huwa nadhania Kurwa kuwa ni Doto. be ~n (about something) kosea if I'm not ~n kama sikosei. by ~ bila kukusudia.