n 1 umande; ukungu. 2 utando machoni (agh. hutokana na machozi); (fig) ukungu; kitu chochote kinachosababisha mtu kushindwa kuelewa maana. vt,vi ~ (over) funika na ukungu/utando. misty adj. mistily adv. mistiness n.