misplace

vt 1 weka mahali pasipo pake; weka mahali pasipofaa/ pasipostahili. 2 (usu passive) penda mtu/kitu isivyo stahili.