miscount

vt,vi 1 hesabu vibaya. 2 kosa makisio n 1 kuhesabu vibaya (hasa kura, vitu n.k.).