misanthrope

n mchukia wanadamu wenziwe; mkaa pweke. misanthropic adj -a kuchukia watu; -a kudharau (kuepukana na) watu. misanthropy n kuchukia watu; chuki ya watu.