miracle

n 1 muujiza. ~ play n (in the Middle Ages) maigizo ya maisha ya Kristo/Watakatifu wa Kikristo. 2 ~ of maajabu ya, mfano wa ajabu. miraculous adj -a muujiza; -a kustaajabisha. miraculously adv.