1n 1 dakika. ~ gunn mzinga unaopigwa kila dakika (k.m. wakati wa mazishi). ~ handn mshale wa dakika. minutemann mwanamgambo (aliye tayari kupigana wakati wowote). 2 (short time) kitambo kidogo muda mdogo just a ~ ngoja kidogo any ~ wakati wowote. in a ~ sasa hivi. to the ~ juu ya alama. the ~ (that) mara tu. up-to-the ~attribadj -a kisasa kabisa. 3 (pl) kumbukumbu (za mkutano n.k.). vt andika kumbukumbu.