adj 1 -dogo, -a chini, hafifu ~ breach uvunjaji mdogo. 2 (mus)in a ~ key(fig) kwa huzuni, kwa kusononeka. n(leg) mtoto mwenye umri chini ya miaka kumi na nane. minorityn 1 (leg) utoto. 2 wachache, walio wachache. be in a ~ity -wa wachache; -wa na wafuasi wachache I'm in a ~ity of one niko peke yangu. ~ity governmentn serikali ambayo ina chini ya nusu ya nafasi za wabunge. ~ity programmen (TV, radio) kipindi kwa ajili ya wachache. ~ity judgementn hukumu ya wachache.