n 1 waziri Prime M~ Waziri Mkuu ~ without portfolio waziri bila wizara maalumu. 2 mjumbe wa serikali (chini ya balozi). 3 ~ of religion mchungaji; mhubiri. vi~ to tumikia; saidia. ministerialadj 1 -a waziri. 2 -a wizara/baraza la mawaziri. ministrationn utumishi; msaada. ministryn 1 wizara. 2 the ministryn jamii ya makasisi na wachungaji; uchungaji. enter the ministry -wa mchungaji. ministrantattrib adj (formal) -a kutumikia n msaidizi, mtumikiaji.