minimum

n kiasi/kadiri iliyo ndogo iwezekanavyo adj -a mwisho (kwa dogo), -dogo sana; -a chini kabisa. ~ wage n kima cha chini. minimal adj -dogo kabisa. minimize vt 1 punguza kabisa. 2 punguza sifa; dharau.