mine
mine
1 n 1 mgodi, shimo; chimbo (la kuchimbulia mawe, madini, makaa n.k.); (fig) hazina; (explosive) bomu la kutega. ~ detector n chombo cha kugundua mabomu. ~ disposal n kutegua mabomu. ~-field n sehemu iliyotapakazwa mabomu ya kutega; sehemu yenye migodi mingi. ~-layer n meli/ndege ya kutega mabomu baharini. ~-sweeper n chombo cha kuondoa mabomu baharini. vt,vi 1 chimba mgodi; chimba. 2 weka mabomu; haribu kwa mabomu. 3 (fig) dhoofisha. miner n 1 mchimba madini. 2 askari wa kutega mabomu ardhini. mineral n madini adj -a madini. ~ ral pitch n lami. mineral water n maji yenye madini (hasa yanayoweza kutibu); (GB) maji ya soda. ~ral wool n sufu madini. mineralogy n elimu madini. mineralogist n mtaalamu wa madini. mining n uchimbuaji wa madini mining company kampuni ya migodi.mine
2 poss pron -angu through no fault of ~ si kosa langu poss adj (in poet & biblical style only) ~ eyes macho yangu.