mime

n 1 uchezaji bubu. 2 mchezo bubu vi iga. ~sic n uigaji, ufananisho. mimetic adj -a kuiga, -lioigwa. mimic adj -liyoigwa; -liyoigizwa. n 1 mwigaji. 2 mwigo wa lafudhi. vt 1 iga, (hasa kwa dhihaka). 2 (of things) fanana sana. mimicry n uigaji, wigo.