million

n milioni, 1,000,000. make a ~ -wa milionea. millionaire n milionea; mtu mwenye dola/pauni milioni moja na zaidi; tajiri mkubwa. millionth n sehemu moja ya milioni adj -a milioni. ~ fold mara milioni moja.