millennium

n 1 kipindi cha miaka elfu. 2 (rel) milenia: miaka elfu ya utawala wa Kristo duniani kama ilivyotabiriwa katika Biblia; (fig) kipindi cha baadaye cha furaha na neema ndani ya jamii. millenarian n mtu anayeamini kutokea kwa milenia. millenary adj -a miaka elfu, -a milenia.