mill

n 1 kinu. flour ~ n kinu cha kusaga unga. sugar ~ n kinu cha kusindika miwa. steam ~ n kinu cha mvuke oil ~ kinu cha kusindika mafuta. put somebody/go through the ~ -pa/fanya mazoezi makali; pitisha/pitia katika hali ngumu. ~ dam n bwawa la kinu. ~ pond n dimbwi (kinu) (of the sea) tulivu/shwari kabisa. ~ race n mkondo wa maji kwa ajili ya kuzungusha gurudumu la kinu. ~ stone n jiwe la kusagia. ~ stone round the neck (fig) mzigo mzito. be between the upper and nether ~ stone banwa sana. millwheel n gurudumu la kinu. millwright n mjenzi na mtengezaji wa vinu (hasa vya maji na upepo). 2 kiwanda; karakana. ~ hand n mfanyakazi wa kiwanda. 3 kijimashine/kijinu cha kusaga (k.m. kahawa, pilipili n.k.). vt,vi 1 saga kwenye kinu ~ flour saga unga. 2 unda kwenye kinu ~ steel unda chuma cha pua katika fito chuma. 3 fanya mikato kwenye ukingo (k.v. wa sarafu). ~ about/around (cattle, crowds of people) enda hobelahobela, zunguka/tembea katika makundi na bila mpango. miller n msagishaji.