n 1 maziwa the ~ of human kindness huruma ya kibinadamu. It's no use crying over spilt ~ maji yaliyomwagika hayazoleki. ~ and water(fig) hafifu; baridi. 2 (compounds)~ barn mkahawa wa kuuzia vinywaji vya maziwa, shikirimu n.k. ~-churnn gudulia la maziwa. ~ loafn mkate mtamu. milkmaidn mkama maziwa (mwanamke). milkmann muuza maziwa (majumbani). ~-powdern maziwa ya unga. ~roundn njia anayopitia mwuza maziwa. ~ shaken sharubati, maziwa (baridi). milksopn mwanamume mwoga/mnyonge;kijana mwoga. milk-toothn jino la utoto. milk-whiteadj -eupe kama maziwa. 3 utomvu wa mimea/maji ya mimea (yaliyo kama maziwa) coconut ~ tui; maji ya nazi. ~ weedn nyasi zenye utomvu kama maziwa. 4 dawa iliyo kama maziwa ~ of magnesia maziwa magnesi. v,vi 1 kama ng'ombe/mbuzi/kondoo n.k.; gema utomvu n.k. (kutoka kwenye miti); (fig) kamua mtu (ili atoe fedha, habari). 2 toa maziwa. ~ing machinen mashine ya kukama ng'ombe. milkyadj -a maziwa; kama maziwa. the ~y wayn kilimia: nyota ndogo nyingi sana pamoja (kama wingu jeupe) mbinguni usiku.