military

adj -a kijeshi, -a kivita. n the ~ n askari, wanajeshi; jeshi. militarism n kuamini/kupenda kutumia nguvu za kijeshi katika siasa. militarist n mtu apendaye/anayeamini katika nguvu za kijeshi. militaristic adj.