militant

adj -liotayari kupambana, -a kutaka mapambano. n mtu anayepambana; mpigania haki (katika vyama vya wafanyakazi, siasa n.k.). militancy n mapambano, hali ya kuwa katika mapambano.