mile

n maili he is feeling ~s better today (colloq) anajisikia afadhali sana leo. mileometer n mita inayoonyesha maili zilizosafiriwa na gari. milestone n jiwe la maili; (fig) jambo/tukio muhimu la kihistoria. mileage n 1 umbali (kwa maili). 2 malipo/posho ya usafiri/usafirishaji (kwa maili).