might

n uwezo, nguvu, ukuu. with all one's ~; with ~ and main kwa nguvu zote ~ is right mwenye nguvu umpishe. mighty adj 1 (lit, biblical) -enye nguvu/uwezo/ amri/ukuu. 2 kubwa sana. high and ~y -enye majivuno sana adv (colloq) sana think oneself ~y clever jifikiria kuwa na akili sana. mightily adv.