middle
n 1 the ~ katikati the ~ of the room katikati ya chumba. ~ of the road (of policies) kati kwa kati, -a kadiri. 2 (colloq) kiuno. 3 (atrrib use). ~ age n utu uzima. M~ Ages n Enzi ya Kati. ~ aged adj -a makamo. ~ spread n (colloq) kitambi (kinachotokana na kuanza kuzeeka). middle-class adj tabaka la kati. take/follow a ~ course fuata njia ya kati. ~ distance n masafa ya kati. ~ finger n kidole cha kati. the M~ Kingdom n (old name for) China. middleman n mtu wa kati; mlanguzi. middlemost adj -a kati kabisa, -a katikati. ~-watch n (on ships) zamu (baina ya saa sita na saa kumi za usiku). ~ weight n uzito wa kati (kati ya kilo 66.6 na 72.5). ~ blouse n blausi mpwayo. middling adj -a katikati; (moderate) -a wastani adv kiasi, kwa wastani. n (usu pl) bidhaa za daraja la pili.