mid

adj -a kati in ~ air angani ~ course katikati ya njia in ~ August katikati ya mwezi wa Agosti ~ latitude latitudo ya kati pref (poet) katikati ya, miongoni mwa. ~ most adj,adv (-lio) katikati kabisa. midday n adhuhuri, jua la utosini, saa sita ya mchana ~day meal chakula cha mchana. midland n sehemu ya katikati ya nchi. The M~lands n Wilaya za kati ya Uingereza. midnight n 1 saa sita ya usiku. 2 (atrrib) usiku wa manane. burn the ~night oil kesha, kaa usiku kucha ukifanya kazi. the ~night sun jua la usiku la nchi za Aktiki na Antaktiki. midship n katikati ya meli/merikebu. midshipman n mwanamaji manowarini (mwenye cheo chini ya Luteni); afisa mwanamaji mkurufunzi. midst n (lit or arch) sehemu ya katikati. in our ~ist miongoni mwetu prep katikati ya, miongoni mwa. midstream n katikati ya mkondo, mto. in ~ stream (fig) katikati ya jambo/shughuli/tukio n.k.. midsummer n katikati ya majira ya joto ya ulaya. M~ day n Juni 24. ~ madness n kilele cha wendawazimu. midway adj,adv ~ way between katikati (ya), nusu kwa nusu. ~- week n siku za kati ya juma (Jumanne hadi Alhamisi, hasa Jumatano). ~ winter n katikati ya majira ya baridi ya ulaya.