mews

n 1 (old use) mtaa wa vibanda (mazizi) vya farasi nyuma ya mtaa wa makazi. 2 (modern use) mabanda yaliyogeuzwa kuwa nyumba/gereji.