metropolis
n mji mkuu wa nchi; makao makuu. metropolitan adj 1 -a mji mkuu. 2 -a uaskofu mkuu metropolitan bishop askofu mkuu (wa sehemu/jimbo lenye maaskofu wengi). metropolitan France n Ufaransa. n 1 mkazi wa makao makuu. 2 M~ n askofu. metropole n nchi za kati contradictions between the metropole and the periphery mikinzano kati ya nchi za kati na nchi za pembezoni.