merit

n 1 ustahili, tabia nzuri, sifa njema. 2 matendo mema. affidavit of ~s n kiapo cha ustahilifu on its ~s kwa ustahilifu wake. vt stahili; -wa na thamani ya. make a ~ of something dai stahili/utambuzi/ kutambuliwa; stahili. he ~s it ni stahili yake, amestahili. meritocracy n mfumo wa serikali unaoongozwa na wataalamu na weledi. meritorious adj -enye kustahili -a kupongeza/kutunuka. meritoriously adv.