meridian

n 1 meridiani; nusu ya mzingo wa dunia (mstari toka Kaskazini hadi Kusini). 2 adhuhuri. 3 (fig) upeo, kipeo, usitawi. meridional adj -a kusini, -a kusini ya Ulaya; -a meridiani.