merchant

n 1 mfanyi biashara ~ law sheria ya biashara. ~ navy n meli za biashara (za nchi moja); baharia/ mwanamaji wa meli hizo ~ prince mfanya biashara tajiri. 2 mwenye duka. 3 (GB sl) shabiki; mlevi; mtu mwenye tamaa (ya kitu) a speed ~ shabiki wa spidi, mtu apendaye kuendesha gari kwa kasi sana. ~ man n meli merikebu ya kupakia bidhaa.