mercantile

adj -a biashara, -a kufanya biashara. ~ marine n meli za biashara ~ agent wakala wa biashara ~ law sheria ya biashara. mercantilism n nadharia kongwe ya uchumi yenye kuthamini zaidi utajiri wa fedha.