mental

mental

1 adj 1 -a akili, -a kichwa. ~ age n umri/ukomavu wa akili. ~ arithmetic n hesabu za kichwa ~ aberration kosa la akili. ~ cruelty n ukatili wa kiakili. 2 -enye ugonjwa wa akili; mwenye kichaa (wazimu). ~ deficiency n upungufu wa akili ~ health utimamu wa akili. ~ home/hospital n mahali pa wagonjwa wa akili. ~ illness n ugonjwa wa akili. ~ patient n mgonjwa wa akili. ~ reservation n kusita kimoyomoyo. ~ retardation n taahira ya akili. mentally adv. mentally defective adj -enye akili pungufu/taahira. mentality n akili; tabia, fikira.

mental

2 adj -a kidevu.