menace

vt hamanisha, ogofya, kamia, tisha ~ a country with war tishia nchi kwa vita. n hamaniko, tishio, kamio, hatari. menacing adj. menacingly adv.