memory
n 1 kumbukumbu; kukumbuka; (past event) mambo yaliyokwisha pita. commit something to ~ kariri, hifadhi, tia moyoni. repeat/speak from ~ kariri keep in ~ tia moyoni, kumbuka not in the ~ of man zamani sana (hata mtu hawezi kukumbuka). to the best of my ~ kadiri ninavyokumbuka childhood memories kumbukumbu za utotoni. in ~ of somebody; to the ~ of somebody kwa kumbukumbu ya. 2 kipaji/uwezo wa kukumbuka; nafasi/kiasi cha kurekodi mambo (ndani ya kompyuta) Asha has a bad ~ Asha ana kumbukumbu mbaya/ hakumbuki. 3 kina (masafa) cha kuweza kukumbukia. within living ~ wakati wetu loss of ~ kupotewa na kumbukumbu refresh one's ~ jikumbusha. 4 heshima baada ya kifo of blessed ~ marehemu of sad ~ -a kukumbusha majonzi. memorable adj -a kukumbukwa, -a sifa kubwa, mashuhuri. memorably adv. memorial n 1 kumbukumbu, ukumbusho/kumbukizi. 2 hati yenye maombi. 3 sanamu ya ukumbusho. 4 (pl) memorials n makumbusho adj -a kumbukumbu. memorialize vt 1 peleka hati ya maombi. 2 wekea ukumbusho. memorize vt kariri, soma kwa ghaibu. memorization n.