melt

vt,vi 1 yeyusha; yeyuka. ~ away isha, malizika, yeyuka. ~ something down yeyusha kitu (ili kukitumia kama mali ghafi). 2 (of food) lainisha, mung'unya; meng'enyeka. 3 (of persons) lainika; tia/sikia huruma ~ into tears toa machozi. 4 (of colours) fifia. melting adj (fig) tamu sana, laini, ororo; -a kusikitisha. ~ing-pot n chungu cha kuyeyushia madini/metali; (fig) mahali pa mchanganyiko mkubwa wa wahamiaji. ~ing point n kiwango cha kuyeyukia.