melodrama

n 1 melodrama: mchezo wa kuigiza wa kusisimua hisia, kupiga chuku, kuchoma moyo, kusikitisha, kuhuzunisha (agh. wenye mwisho mwema). 2 tabia, lugha ya kutia chumvi. melodramatic adj. melodramatically adv.