meet
meet
1 adj (arch) -zuri, -a kufaa, -a kustahili; -a haki it is ~ and just ni vyema na haki.meet
2 vt,vi 1 kutana. ~ (with) pata/ patwa, kumbana na ~ with impediments kumbana na vikwazo. 2 fahamu, fahamiana, juana they met the professor at the farm walifahamiana na profesa shambani. 3 pokea, laki, ridhia ~ somebody's wishes ridhi(sha) matakwa ya mtu ~ somebody's request kidhi ombi la mtu ~ the requirements tosheleza mahitaji. 4 faa. ~ the case tosheleza. ~ somebody half way (fig) patana, fanya suluhu. ~ all expenses lipa gharama zote. 5 gusa; gusana, patana; kimu, tosheleza mahitaji. make (both) ends ~ ishi kulingana na mapato. 6 onekana, sikika. ~ somebody's eye/ear onekana/sikika; ridhisha. there is more than ~s the eye kuna mambo mengi zaidi ya yanayoonekana kwa macho, kuna mengi yaliyojificha. 7 -wa tayari, jiandaa kwa ~ with political changes jiandaa kwa mabadiliko/mageuzi ya kisiasa. 8 pambana, pinga, kabili (kwa vita). ~ ing n mkutano, kusanyiko annual general ~ing mkutano wa mwaka a secret ~ing mkutano wa siri. meeting-house n jengo la mikutano (agh. ya Quakers) ya sala. meeting-place n mahali pa kukutania.meet
3 n 1 (GB) mkutano (wa wawindaji, watu wanaosaka, wapanda baiskeli n.k.). 2 (US) mashindano athletic ~ mashindano ya riadha.