medium

n 1 wastani, tabia/sifa ya wastani. the happy ~ kukwepa misimamo, kutobana sana wala kulegeza mno, wastani wa kufaa. 2 (means) njia, chombo ~ of circulation njia ya mawasiliano by the ~ of kwa njia ya ~ of exchange kibadilishio. 3 mtu anayewasiliana na mizimu. 4 (pl) mazingira adj -a kati, -a kadiri, wastani. ~ wave n masafa/mawimbi ya kati (-a urefu kati ya mita 100 na 1000).