n 1 sayansi na fani ya kuzuiana kutibu maradhi; uganga, tiba, udaktari. 2 dawa give ~ to -pa dawa, nywesha dawa. ~-balln mpira wa babucheza. ~-chestn sanduku la dawa. ~-glassn bilauri ya dawa. 3 adhabu inayostahili. take one's ~(fig) stahimili machungu/ adhabu. get a dose of one's own ~ fanyiwa kama ulivyomfanyia mwenzako. 4 uganga (wa kienyeji) practise ~ fanya uganga vt(arch) ponyesha; tibu. ~- mann 1 mganga. 2 mchawi. medicn(colloq abbr formedical student) mwanafunzi wa tiba/uganga. medicaladj -a tiba, -a uganga, -a dawa to be under medical orders/ treatment endelea na matibabu, tibiwa medical man/practitioner daktari, mganga, tabibu medical examination uchunguzi wa kitabibu medical juris-prudence sheria za tiba n(colloq) mwanafunzi wa tiba; matibabu. medicallyadv. medicamentn dawa. Medicare(US)n mpango wa serikali wa kutibu watu (agh. wazee). medicatevt tibu, tumia dawa, wekea dawa. medicated soapn sabuni yenye dawa. medicinaladj 1 -a dawa. 2 -a kuponya. medicon(colloq) daktari, mwanafunzi wa uganga.