mechanic

n 1 makanika, fundi mitambo. 2 mbinu ~s of writing short stories mbinu za utunzi wa hadithi fupi. mechanical adj 1 -a umakanika, -a mitambo ~ al engineer mhandisi mitambo ~al advantage (of machine) manufaa ya kimakanika ~al efficiency (of engines) ufanisi wa kimakanika (katika injini); -a kufanya, kufanyika kama kwamba kwa mitambo. 2 (persons) -enye kutenda bila kufikiria, -a kufanya kama mashine. mechanically adv kimashine, bila kufikiri. mechanics n umakanika. mechanism n 1 mashine, mtambo. 2 utaratibu wa kufanya jambo. mechanistic adj. (phil) ~ theory n nadharia inayoamini kwamba asili ya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo ni mata. mechanize vt tumia mashine. mechanization n.