mean

mean

1 adj 1 ovyo, baya, duni. 2 (of behaviour) -a aibu, -a hila a ~ trick hila feel ~ ona haya/aibu. 3 bahili, -enye choyo. 4 (US) katili. 5 (of rank) chochole, kabwela, -sio nasaba. meanness n. ~ie; ~y n.

mean

2 adj 1 -a kati, -a kadiri/wastani ~ price bei wastani n 1 kati, wastani. happy/golden ~ n wastani wa kufaa. 2 (maths) wastani. 3 (pl) means n njia, uwezo jinsi, namna. by all ~s! hakika, Inshallah! by any ~s! kwa njia yoyote. by fair ~s or foul kwa njia yoyote ile. by no ~s hasha, hata kidogo by some ~s or other kwa namna, njia moja au nyingine. by ~s of kwa njia ya, kwa kutumia. by no manner of ~s haiwezekani kabisa ~s of communication njia ya mawasiliano ~s of payment njia ya malipo. ways and ~s njia/mbinu (hasa za serikali za kupatia pesa). 4 (pl) (wealth) fedha, mali, utajiri a man of ~s tajiri. ~s test n kipimo cha uwezo/kipato. 5 wasaa, maishilio, nafuu it is within my ~s nina uwezo. (to) live beyond one's ~s kuishi kupita kipato/kutumia zaidi ya uwezo wako.

mean

3 vt 1 (of words, sentences etc) maanisha that's what I ~ hiyo ndiyo maana yangu what did he ~ by saying that? alikuwa na maana gani kwa kusema vile? who do you ~? nani? it ~s yaani; maana yake. 2 ~ (by) dhamiria, taka, kusudia vema. (to) ~ business (colloq) dhamiria sana (kufanya kitu); amua. (to) ~ mischief dhamiria madhara. (to) ~ no offence -todhamiria kosa. 3 ~ something to somebody -wa na maana. ~ a lot to somebody pendwa na mtu it ~s a great deal to me ina maana kubwa kwangu. 4 ashiria; elekea. 5 ~ well (by) -wa na nia njema. ~ ing n maana, kusudi adj -lio na maana. meaningful adj. meaningfully adv. meaningless adj -sio maana. meaningly adv.