mayor

n meya. mayoress n 1 mke wa meya. 2 meya mwanamke. mayoralty n muda/cheo wa/cha umeya.