may

May

1 n Mei, mwezi wa tano. M~ Queen n Malkia wa uzuri. M~ Day n Mei Mosi; sikukuu ya wafanyakazi duniani. Mayfly n mdudu aonekanaye mwezi Mei tu.

may

2 aux verb 1 (of possibility or probability) weza; wezekana I ~ go naweza kwenda; labda nitakwenda; omba (ruhusa). 2 (of permission) ~ I go? Niende? ~ you be happy nakutakia heri. 3 (to express purpose) we eat that we ~ live tunakula ili tuishi. ~ be adv labda, huenda. as soon as ~ be mapema iwezekanavyo. mayday n (radio telephone) (neno la) ishara/ilani ya kimataifa ya kuomba msaada wakati wa shida angani au baharini.