mature
vt,vi 1 pevuka; pevusha; iva, komaa. 2 (of bills) -wa tayari (kwa madai) adj 1 -zima; -pevu; -bivu. 2 (ready) kwa makini, kamili, -liotengenezwa. 3 (of bills) tayari kulipa. maturely adv. maturity n. maturate vi pevuka. maturation n upevu, kukua.