matron

n 1 matroni: mwanamke wa makamo anayetunza shule n.k.. 2 mwanamke anayeangalia wauguzi wa hospitali. 3 mwanamke aliyeolewa au mjane. matronly adj.