material
material
1 n 1 nyenzo, vitu vya kutengenezea/kujengea vitu vingine raw ~ mali ghafi. 2 kitambaa. 3 vifaa writing ~s n vifaa vya kuandikia. 4 taarifa inayotumiwa kuandikia maandiko.material
2 adj 1 -a mwili. 2 yakinifu. 3 (leg) muhimu, -a kiini ~ evidence ushahidi unaoathiri kesi. 4 muhimu, zito. materialism n 1 uyakinifu. 2 tamaa ya vitu/anasa. materialist n myakinifu. materialistic adj. materialistically adv. materialize vt,vi fanya kuwa kitu, tokea; pata umbo/mwili, timizwa/kamilishwa. materialization n.