match
match
1 n njiti ya kiberiti. ~ box n ganda la kiberiti. ~ wood n miti itumikayo kutengenezea viberiti; vipande vya mbao.match
2 n 1 (equal) mwenzi; sawa; mshindani be a ~ for -wa sawa na, weza be more than a ~ for -wa na uwezo zaidi ya mwingine. 2 kulingana we shall never see his ~ hututaona mtu anayefanana naye they are a good/bad ~ wanalingana vizuri/vibaya. 3 mechi return ~ mechi ya marudiano. 4 (marraige) ndoa; mwenzi wa ndoa. make a ~ of it oana. ~ maker n mtu apendaye sana kuwa mshenga. vt,vi 1 lingana na; linganisha, landanisha. 2 shindanisha, pambanisha. 3 (arch) oza; oana.