mass
mass
1 n 1 ~ (of) fungu; wingi; bonge. 2 the ~es n umma the great ~ of the people idadi kubwa ya watu, watu wengi sana in the ~ kwa jumla the workers in the ~ did not want to strike wafanyakazi kwa jumla hawakutaka kugoma. ~ meeting mkutano wa hadhara. ~ communications; M~ Media n vyombo vya habari. ~ observation n uchunguzi/mafunzo ya desturi za watu wa kawaida. ~ production n uzalishaji kwa wingi (wa bidhaa moja). 3 (science) masi/tungamo. vt,vi kusanya; kusanyika. massy adj imara; kubwa sana; zito. massive adj 1 kubwa, -nene; -zito. 2 (fig) imara. massively adv. ~ iveness n.mass
2 n (rel) misa high ~ misa kuu low ~ misa ndogo.