marshal

n 1 jemadari. field ~ n jemadari mkuu. 2 msimamizi wa sherehe/matukio muhimu. 3 afisa wa mahakamani. 4 (US) mkuu wa idara ya polisi/zimamoto. vt 1 panga. ~ling yard n mahali pa kupanga (mabogi ya) treni. vt ongoza kwa heshima/taadhima. ~ somebody into a room ongoza mtu chumbani.