market

n 1 soko. the ~ sokoni. (to) bring one's egg/hogs to the wrong~ haribikiwa na mipango/shindwa kwa kuomba msaada pasipostahili. ~ day n chete, gulio. ~ place/square n sokoni. ~-town n gulio. go to ~ enda sokoni (kununua vitu). go to a bad/good ~ (to) fanikiwa. ~ garden n bustani ya ya mboga za kuuza. ~ price n bei ya sokoni. 2 utashi, kutakiwa kwa soko. 3 ununuzi na uuzaji. be on/come on (to) the ~ uzwa. be in the ~ for something -wa tayari kununua; (fig) -wa tayari kufikiria jambo fulani. put something on the ~ uza kitu. up/down ~ adj -a tabaka la juu/ chini. ~ research n utafiti wa soko. vi,vt 1 uza/nunua sokoni. 2 peleka/ tayarisha kwa ajili ya kuuza. ~ able adj -a kuuzika, -inayouzika. marketing n elimu ya soko.